Sijui ni laana au ndio kumkataa Mungu makusudi
Msione naanza hivi jamani nina hasira baada ya mdau wangu kunipa kisa hiki:-
Dada Johari
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 28, mkazi wa hapa dar, sijaolewa na sijapata mtoto. Nimelelewa na mama bahati mbaya baba yangu alifariki mi nikiwa nina miaka 9, kiasi ilichangia hata masomo niishie form four.
Nilipata mwanaume mwenye hela zake na ana cheo kikubwa tu, basi nikafurahi nikaona nimepata bahati kubwa sana, na kwakuwa maisha ya kwetu yalikuwa ya chini kiasi hamjui kesho mtakula nini.
Basi baada ya kuduu mara mbili akaniomba anipangie chumba basi nikamwambia ngoja nikamwambie mama. Mama alikubali kwani kwa muda mfupi niliokuwa nae kiasi alichokuwa ananipa kilisaidia sana maisha yetu.
Basi akanipangia upande appartment Mikocheni nikaona mwanaume si ndio huyu. Baada ya mwezi akaanza kuwa ananitia vidole nyuma au akizama chumvini mpaka na kwenye tigo anatumbukiza mi naona ndio mapenzi na vile nilikuwa nasikia raha ndio kabisaa.
Tahamaki siku hiyo nikaona dushelele analiweka kwenye tigo, nikashtuka akaniambia pole pole nikawa naumia ananiambia kichwa tu baby, ukweli niliumia sana baada ya hapo machozi yananitoka nikamuuliza kwanini kanitendea vile akaniambia mbona yeye ananiridhisha kwa kila ninachokitaka sasa mimi nashindwaje kumpa anachokitaka, kama nampenda kweli basi kila siku nimpe tigo ndio furaha yake.
Nikamuuliza kama sitaki jee akaniambia niondoke home maana nitakuwa sina fadhila, Basi nikamwambia naomba niondoke nyumbani akasema kama hivyo nimlipe gharama zake zote, laa sivyo atanifungulia kesi na atahakikisha mpaka nyumba yetu inauzwa. Nikawa mdogo kuliko sisimizi, furaha yote ikayeyuka nikamwona kama ziraili, kesho yake akaniletea gari aina ya Noah akanitafutia mwalimu wa kunifundisha, nyumbani nako akawa anapeleka matumizi mdogo wangu wa mwisho akamtafutia shule ya sekondari boarding Kenya.
Familia nzima ikamwona mfadhili mwema kabisa kumbe mwenzao nateketea. Baada ya mwaka mmoja nikaanza kuvuja maji kwenye tigo nikawa navaa pedi bila kuwa kwenye siku zangu yaani we dada acha tuu.
itaendelea .................
Hajamaliza kisa chake tuendelee kesho panapo majaliwa
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako