Assalaam alaykum wapendwa,
Baada ya kusema sifa za mwanaume wengi wenu mmeniomba niseme na mwanamke haya tuwemo basi
Mwanamke ajuaye mahaba huwa sifa hizi
.jpg)
ni hayo tuu
Baada ya kusema sifa za mwanaume wengi wenu mmeniomba niseme na mwanamke haya tuwemo basi
Mwanamke ajuaye mahaba huwa sifa hizi
- huwa hana tamaa na vitu visivyo na lazima.
- hutunza siri na mali ya mumewe.
- huridhika na kipato cha mumewe hata kama kidogo kiasi gani.
- hushukuru kwa chochote anachopatiwa na mumewe hata kama hajakipenda.
- huomba msamaha pindi akoseapo na kuahidi hatorudia tena kwa lugha laini na upole.
- kila siku huhangaika kujipamba kwa ajili ya mumewe ikifika jioni mwenyewe shurti apambe chumbani kwake, ajipambe mwenyewe kwa kanga nzuri na hasa ikiwa ina weupe, udi, pafyumu, poda, wanja, lipstik, nywele unazibana mtindo wa kupendeza, macho unaweka eye line, n.k
- Bwana akirudi kazini hupokelewa mzigo, pole na kiss kidogo kisha akampambua nguo zake, akaenda muogesha mwenyewe maruhani yakipanda huko bafuni aah anampa kigoli kimoja aondoe uchovu. Wakitoka huko anamkaribisha mezani na hapo anakuwa ameandaa tunda kwanza ampe mumewe kisha ndio ampe chakula tena tonge la kwanza shurti alishwe kisha aendelee mwenyewe. kama kuna samaki basi mke humchambulia miba mumewe, huku akimuongelesha maneno mazuri ya mahaba.
- Kitandani mwanamke huyu hujituma kwa ujuzi na maarifa yote kwani hasubiri kuguswa mwenyewe hujishughulisha kwa makiss, akamgusa mumewe kunako, akachezea panapo, huku akimbembeleza mumewe kwa mahaba, macho huyarembua kama mdoli, mwili wake huwa laini kila ashikwapo hunyumbulika kama ngano.
- kwenye majamboz huwa mwepesi wa kubadili style, kiuno kama kafunga feni, huku akilalamika kwa utamu wa mahaba na kichozi cha uchokozi humtoka.
- Hashushi mlima mpaka aone mumewe ameridhika na kumuomba naye afanye hivyo, kisha humlaza mumewe kifuani apumzike huku akimbusu na kumpa pole.
- humshukuru mumewe kwa mahaba aliyompa na kisha humsafisha na kwenda oga tayari kwa kulala au kitu kingine
- Hata audhiwe na vipi na familia ya mumewe hawezi kumwambia mumewe kwani anajua ataharibu udugu wa mumewe na kuharibu furaha yao ya siku hiyo na hataweza faidi mapenzi.
- hulegeza sauti pindi aongeapo na mumewe tena huwa mpole na msikivu.
- asubuhi humuandalia mpenzi/mumewe nguo za kazini,viatu na sox kisha humuamsha taratibu kwa mahaba ili mumewe asichelewe kazini.
- anapokuwa na shida ya pesa huomba kistaarabu na akiambiwa hazipo au asubiri wala hanuni.
- hana muda wa kupiga umbeya wala safari zisizo na kichwa wala miguu muda wote huutumia kuandaa chakula na mahitaji ya mumewe pindi arudi kazini.
.jpg)
- sala na maombi yake huombea ndoa yao na watoto wao wawe salama na wadumu milele.
- Kila siku ndoa yako itakuwa mpyaaa na wala kidudumtu haingii
ukiyafanya haya mwanaume habanduki wala mzizi hauna nafasi kwako.
ni hayo tuu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako