habari zenu wapendwa
Leo tuangalie jinsi wanaume wanaojua kupenda jamani anakupa raha mpaka unahisi wazimu.
Toa maoni yako,
Leo tuangalie jinsi wanaume wanaojua kupenda jamani anakupa raha mpaka unahisi wazimu.
- humpenda mkewe/mpenziwe wazi wazi wala hafichi mahaba yake hupenda watu wajue kuwa yeye anampenda.
- huwa mkweli na muwazi siku zote na akikosea huomba msamaha kwa upole.
- huwa mpole kwa mke/mpenzi wake hata kama kwenye jamii ni mkali na wanamuogopa.
- huwa na huruma sana mfano mkewe akiumwa huwa anahaha kutaka mkewe/mpenzi wake arejee katika hali ya uzima.
- hufanya vitu vinavyomfurahisha mkewe/mpenzi wake kama kurudi nyumbani mapema, zawadi, kumtoa out n.k.
- humsaidia kazi za nyumbani ili mkewe/mpenziwe asichoke kupita kiasi.
- humfanya kuwa malkia ndani ya nyumba kwani mkewe/mpenziwe hung'ara muda wote hata mbele za watu.
- ni mtundu kitandani katika kumuandaa mkewe/mpenziwe na hana papara ya tendo mpaka aone amewiva maji anayaita mma.
- hujitahidi kwenye majambozi kumridhisha mkewe/mpenziwe mpaka amalize naye ndio hushusha mlima.
- huwa na mahaba mazito kiasi hata mkewe/mpenziwe atongozwe na nani huwa hana shida ya michepuko.
- hupenda kuwa baba wa familia bora na si bora familia.
- hufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya familia yake na hajishughulishi na michepuko.
- daima hupenda familia yake iishi maisha mazuri na sio ya tabu aliyopata yeye.
Toa maoni yako,
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako